Posts

Showing posts from March 22, 2016

AFRICAN ESSAY WRITING COMPETITION 2016 (O' LEVEL)

EAST AFRICAN ESSAY WRITING COMPETITION 2016 | Print | The East African Community Secretariat has organized the EAC students essay writing competition year 2016. The Essay writing competition is intended to broaden knowledge of the school going population on EAC activities. The topic for the  year 2016 in English is “Discuss the advantages and disadvantages of the East African Community admitting new partner States’’. In Kiswahili is “Jadili faida na hasara itakazopata Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa kupokea wanachama wapya”. The competition is open to students in form 1 to form 4 who are required to write essays between 1000 – 1500 words. The students are required to begin researching on the topic prior writing and submitting to their Heads of Schools by 15 th   June, 2016.    The Heads of Schools will then be expected to constitute a marking panel which will choose ...

Wewe ungemuacha nani?

Top of Form Siku moja katika darasa la jioni la watu wazima, mwalimu wa saikolojia aliingia darasani na kuwaambia wanafunzi; "Nataka tucheze mchezo, mtu yeyote yule naomba ajitolee aje hapa mbele" Mwanamke aitwae Cathy akatoka mbele. Mwalimu akamwambia aandike majina 30 ubaoni ya watu ambao anadhani ni wa muhimu katika maisha yake. Cathy akaandika majina ya wanafamilia yake yaani mumewe na mwanae, ndugu, majirani na marafiki zake. Mwalimu akamwambia Cathy afute majina matatu ambayo anadhani kwake sio ya muhimu sana kuzidi mengine. Cathy akafuta majina ya marafiki zake watatu. Mwalimu akamwambia Cathy afute tena majina matano zaidi, Cathy akafuta majina ya majirani zake watano. Hii iliendelea mpaka alipobakiwa na idadi ya watu wanne tu katika ubao. Haya yalikuwa majina ya wazazi wake, mumewe na mtoto wake wa pekee. Darasa zima wakabaki kimya, baada ya kugundua kuwa huu sio mchezo wa Cathy peke yake sasa. Mwalimu akamwambia Cathy afute majina mengine maw...