Posts

Showing posts from February 25, 2016

Maisha ni kama Shamba

“Maisha ni kama Shamba, wapo ambao wazazi wao walifanikiwa kununua shamba hili na wao kwa juhudi wazijuazo wao walifanikiwa kung’oa visiki, kulima, kupanda mbegu na kupalilia na kisha sasa mazao yanamea na wao wananyweshea. Watoto au vijana wenye wazazi wa namna hii huwa hawana kazi sana,wao huwapokea wazazi wao mpira wa maji na kuanza kumwagilia. Wapo wale ambao wazazi wao walifanikiwa kununua shamba lakini walishindwa kulihudumia na sasa wao ndio huenda kuanza upya, kazi yao huwa ngumu sana kwani hutakiwa kuanza mwanzo, hawa ni wale waliobahatika tu kupata elimu lakini kwao hakuna uwezo. Ewe ambaye kwenu mmefanikiwa usikatishe ndoto ya mwenzio kwa uwezo wa mzazi wako,USITUMIE PESA KAMA FIMBO YA KUMCHAPIA MWENZIO”

The Right Angle to approach a difficult problem is the “Try-Angle” {For with God nothing shall be impossible. Luke 1:37}

“Some people complain God put thorns on roses, while others praise Him for putting roses among thorns.” Philippians 4:8 “The bridge you burn now may be the one you later have to cross” Romans 12:18 “Real friends are those who, when you’ve made a fool of yourself, don’t feel you’ve done a permanent job.” 1 Corinthians 13:7, 8. “Most people wish to serve God-but only in an advisory capacity.” 1 Peter 5:6 “If you don’t stand for something you’ll fall for anything.” Isaiah 7:9 “Although the tongue weighs very little, few people are able to hold it.” James 3:5 “It’s good to be a Christian and know it, but it’s better to be a Christian and show it.” John 13:35 “Sorrow looks back. Worry looks around. Faith looks up.” Heb. 12:2 “Success in marriage/ministry is more than finding the right person/job. It’s becoming the right person.” 1 Timothy 6:11 “Failure in people is caused by lack of determination than lack of talent.” Galatians 6:9 “A man is rich acc

UTAMBUE MOYO WAKO

“Unaweza kuwa si wa kwanza kwake, wala wa mwisho kwake, Aliwahi kupenda kabla na anaweza kupenda tena. Lakini kama anakupenda wewe, unajali nini tena? Yeye si mkamilifu, na wewe pia si mkamilifu, na wote wawili hamuwezi kuwa wakamilifu pamoja, lakini kama anaweza kukufanya ucheke, anakunfanya ufikiri mara mbili na anakiri kuwa yeye ni binadamu a anatenda makosa basi mshikilie yeye na mpe kwa kadiri uwezavyo. Anaweza kuwa hakufikirii kila sekunde katika siku, lakini atakupa sehemu ya utu na mwili wake anayojua utaivunja YANI MOYO WAKE. Usimbadilishe, usimchambue, usitegemee makubwa zaidi ya yale awezayo kukupa au yale anayomudu. Tabasamu pale akufurahishapo, muambie pale anapokukasirisha, ana ummis pale anapokuwa hayupo. HAPO UTAKUWA NA FURAHA YA MAPENZI NA WASIWASI WA MAPENZI UTAONDOKA” “Hakuna haja ya kukata tamaa na kujiona kuwa huna thamani katika mapenzi yako kwakuwa tu kila mahusiano uanzishayo hayawi na mwisho mzuri au ulioutarajia, mai

WHY DID CHE GUEVARA COME TO TANZANIA SECRETLY

The Argentinean revolutionary and hero of the Cuban revolution, Ernesto “Che” Guevara, spent over four months in Tanzania between 1965 and 1966. He entered Tanzanian soil a total of three times, once publicly and twice in secret between February and November of 1965. Che was attracted to Tanzania because it was the headquarters of most liberation movements from southern Africa; it was one of the centers of revolutionary thought in the African continent at the time. After almost three months of travelling to 6 different African countries pitching a case for a revolution, it was in Tanzania that Che would find a government ready to support his plan and a place to launch his next revolution. Tanzania would eventually become the starting point for a Cuban operation that would see Che together with more than 130 Cubans cross Lake Tanganyika and spend the next seven months fighting in the Congo. Che landed in Dar es Salaam on Thursday, February 11, 1965 from China. He had one mission:

RIGHTEOUSNESS BY FAITH

Romans Chapter 3: 21-31                                                                                                                                                  21But now apart from the law the righteousness of God has been made known, to which the Law and the Prophets testify. 22This righteousness is given through faith in j Jesus Christ to all who believe. There is no difference between Jew and Gentile, 23for all have sinned and fall short of the glory of God, 24and all are justified freely by his grace through the redemption that came by Christ Jesus. 25God presented Christ as a sacrifice blood—to be received by faith. He did this to demonstrate his justice, because in his forbearance he had left the sins committed beforehand unpunished— 26he did it to demonstrate his justice at the present time, so as to be just and the one who justifies those who have faith in Jesus. 27Where, then, is boasting? It is excluded. Because of what law? The law t

MAPENZI YA KWELI

“Mapenzi ya kweli hudumu milele, hila na chuki za kupandikizwa huweza kumfanya mtu adhani kuwa hawezi kabisa kupenda tena, lakini mambo huwa tofauti, ukimpenda mtu kweli, haitajalisha umepata maumivu kiasi gani kwa kutoelewa kwake, utaendelea kumpenda huku ukimwomba Mungu amfumbue macho. Kuna watu tunakutana nao katika maisha yetu na hutokea kuwa wathamani kwetu kwakuwa wanajali sana furaha yetu kuliko waliotufahamu kabla, furaha zetu hurudi tena pale faraja ya kweli inapoambatana na moyo wa uvumilivu unaotukumbatia matatizo yetu na kuyaficha tusiyaone...” Love is not blind

MANENO YANA NGUVU (WORDS ARE POWERFUL)

MANENO YANA NGUVU .                                                                                                                                 Naanza kwa kuandika kuwa ; “Nayajua mengi kwa kuwa nimempa kila mtu nafasi ya kuwa mwalimu wangu, kila mtu hunifunza kwa yale atakayo. Huwa naheshimu kauli na mawazo ya wote kwa uzito sawa, LAKINI UELEWA NI JUU YANGU” Jua ya kwamba; “Ulemavu wa fikra tulizonazo juu ya maisha na juu yetu wenyewe huzaa mawazo mpauko yasiyoakisi umuhimu na umaana wa utu wetu na malengo yetu. Kuna muda tunafikiri kuwa watu wa aina fulani ndio wawezao kufanya mambo ya maana na yenye maendeleo kwa wao wenyewe, na sisi kujiweka nyuma kwa miakisio ya ubovu wa uteuzi wa fikra sahihi dhidi ya fikra mtambuka. Tunawaza zaidi kuliko kufikiri juu ya hatima ya uzio wa upeo wetu na malengo yetu. Akili zetu hutuongoza katika mwambao wa kukata tamaa na kutojikubali. Tunahangaikia kuona kuliko kutazama na kuyafanya ya mwisho kuwa ya kwanzo. Sisi ni zao la uma