Posts

Showing posts from February 19, 2016

GAN TT FRANK'S CONTRIBUTION IN MANAGENT

Henry Lawrence Gantt: (USA, 1861 – 1919): H.L Gantt was born in 1861. He graduated from John Hopkins College. For some time, he worked as a draftsman in an iron foundry. In 1884, he qualified as a mechanical engineer at Stevens Institute. In 1887, he joined the Midvale Steel Company. Soon, he became an assistant to F.W Taylor. He worked with Taylor from 1887 - 1919 at Midvale Steel Company. He did much consulting work on scientific selection of workers and the development of incentive bonus systems. He emphasized the need for developing a mutuality of interest between management and labor. Gantt made four important contributions to the concepts of management: 1.Gantt chart to compare actual to planned performance. Gantt chart was a daily chart which graphically presented the process of work by showing machine operations, man hour performance, deliveries, effected and the work in arrears. This chart was intended to facilitate day-to-day production planning. 2.Task-and-bon

TS AMIZING

Image

Kwanini Tuwe Na Afya Njema?

www.2 lightingtheworld.org Kanisa lenye furaha, familia yenye furaha, na jamii yenye furaha hufanywa na watu wenye afya. Mtu mwenye afya:                 1.  Ni mchangamfu sana.                                                 2.  Anaweza kupata zaidi.                                                 3.  Anaweza kuzalisha zaidi.                                                 4.  Anaweza kuwasaidia wengine zaidi.                                                 5.  Anaweza kuufahamu upendo wa Mungu vizuri zaidi.                                                 6.  Anaweza kuwaeleza vema wengine kuhusu upendo wa Mungu. Kwa nini?  Biblia inaelezea sehemu 4 tofauti ndani ya mtu.  Luka 2: 52 Yesu alikua katika: Hekima                                   -  Anaye fikiri au sehemu ya ubongo. Kimo                                       -  Aliye na mwili au sehemu ya mwili. Akimpendeza Mungu           -   Aliye na uhusiano na Mungu au sehemu ya kiroho. Na wanadamu   

Kisa Maarufu Cha Nyama

Image
Daima tumekuwa tukiamini kuwa tunahitaji kula nyama ili tuwe na nguvu na afya.  Kwanini?  Kwasababu nyama ina ‘protini’ na ni ya muhimu sana kwa miili yetu.  Inajenga na kutengeneza miili yetu.  Lakini mwaka 1950 wana sayansi waligundua kuwa hasa tunaweza tukawa tunakula protini kupita kiasi.  Hasa kama tuna kula nyama nyingi.  Wana sayansi hawa ni Daktari Hardinge na Daktari Stare walithibitisha kuwa mtu ambaye anatumia vyakula vya mimea tu (vegetarian) hupata protini zote ambazo mwili wake unazihitaji.  Watu wameamini kuwa kula sana vyakula vya protini za mnyama itatufanya tuwe na nguvu na uwezo.  Vilevile waliamini kuwa husaidia akili na mwili.  Lakini ni jambo la kweli?  Ni wapi jambo hili la umaarufu wa nyama lilikotokea?  Protini iligundulika 1838.  Protini ni muhimu kwa namna yoyote ya maisha!  Ni yamuhimu sana !  Tunahitaji protini ili misuli yetu itende kazi vizuri, kuwa na homoni nzuri na uwiano wake mzuri, tuweze kukua na kutengeneza sehemu tulizo jikata na vidonda

Ubongo wa Mbele

Image
Phineas Gage aliumia vibaya sana tarehe 13 Septembe 1848 wa kati kitu fulani kilipasuka alipokuwa akifanya kazi.  Mlipuko ulikuwa mkubwa kiasi kwamba mtarimbo ulimwingia kichwani karibu na jicho chini yake kidogo; ukaingia ubongoni na kutokeza nje ya fuvu lake na ule mtarimbo ulikwenda kutua mita kadhaa mbele baada ya kutoka kwenye fuvu hilo.  Phineas alipona na akawa na afya tena lakini hakuwa tena Phineas Gage tena.  Mwonekano wote wa mwili ulibadi lika.  Akawa na vitendo vya usumbufu, mwenye hasira za haraka mno, asiye wajibika kazini vilivyo na akapoteza mvuto wa dini.  Hali ya kimaadili vilevile ilipungua sana.  Alikufa baada ya miaka 13 ya ajali yake mbaya na wana sayansi walikuwa wanafanya uchunguzi kuhusu athari ya Phineas ya ubongo wake wa mbele.  Wame ng’amua mambo kadhaa.  Ubongo wa mbele unatawala hali ya mambo ya kiroho, tabia, maadili na nia. Hivyo ni mulimu kuwa tuna chukua uangalizi mkubwa kuhusa ubongo wetu.  Wana sayansi nao wamegundua kuwa mtindo wa maisha u

Uvutaji wa Sigara na madhara yake

Image
Katika tumbaku zipo sumu mbaya zaidi ya 4, 000 ambazo wana sayansi wamezipata.  Kila wakati mvutaji anapovuta sigara sumu hizi zote huenda mwilini mwake.  Nyingi za sumu hizi husababisha kansa (carcinogens).  Zinaweza kusabibisha kansa zenyewe tu.  Tumbaku inaweza kuvutwa kama sigara; kwa kiko; kutafuna; kunusa; au kusokota!  Siyo lazima ivutwe tu.  Haijalishi mvutaji anatumaije tumbaku.  Daima ni mbaya na yenye athari kwa afya yako.                                 Moja ya sumu mbaya ni: 1.  Nikotini (Nicotine) 2.  Lami  (Tar) 3.  Hewa chafu  (carbon monoxide) Nikotini:   Ni dawa inayo ufanya mwili ujisikie haja ya kuvuta na kama mtumiaji atapunguza uvutaji wake (hasa unapo anza kuacha kuvuta) mwili utaanza kuwa na dalili ya kutaabika, kama kuumwa kichwa, mapigo ya haraka ya moyo, kutoa jasho.  Kichefuchefu, maumivu ya misuli, n.k. ni kwasababu ya kutawaliwa na sumu hiyo mvutaji ana taabika kuiacha. Lami:   Katika tumbaku kuna nta ya lami inayo fanana na ile

UNAUUGUAJE?

Image
Nina Uguaje? Kuna sababu nyingi tofauti zinazo sababisha ugonjwa.  Sababu yenye umuhimu sana ni mfumo mbaya wa maisha!   Kuvunja kanuni 8 za afya na kuishi katika namna isiyo ya kiafya hutuongoza kwenye shinikizo la damu, kansa, TB, ukimwi, ugonjwa wa moyo (heart attack) mfadhaiko, kisukari na mengine mengi. Magonjwa mengine husababishwa na virusi, bakteria na vijidudu vidogo vya magonjwa.  Mifano michache ni: -  Surua            -  Kuharisha     -  Ukimwi        -  Kupooza      -  Homa           -  Kichomi -  Homa ya uti wa mgongo                 -  TB                            -  Upele  na mengine mengi                                  Magonjwa mengine husababishwa na minyoo na wadudu wanao ambukiza:  -  Malaria                     -  Kichocho                 -  Tegu     -  Michango             -  Michango uzi Magonjwa mengine husababishwa na ajali.  Mengine kwasababu ya miili yetu kuzeeka na kuchakaa.  Magonjwa mengine hurithiwa toka kwa wazazi na mengine

HIV/UKIMWI

HIV/UKIMWI AIDS (Ukimwi) upungufu wa kinga mwilini. Hii humaanisha kwamba ugonjwa hudhoofisha mfuno wa kinga.  Kwa sababu mfuno wake wa kinga ni dhaifu, watu wenye ukimwi hujenga hofu ya maisha katika magonjwa na maambukizi ya kifua kikuu, kansa na magonjwa mengine.  Virusi (HIV) hufanya kazi polepole na waathirika huweza kuonekana wenye afya njema kwa miaka hata 10 kabla hawajaanza kuugua na kufa.  Hakuna tiba ya virusi / ukimwi.  Hivyo kila apataye virusi vya ukimwi atakufa.  Mamilioni ya watu duniani wameathirika na ukimwi.                                          Unapokuwa na virusi, tunasema ni mwathirika na virusi .  Unapoanza kuugua bila kupata nafuu tunasema una ukimwi.   Wachunguzi wanasema kwamba vifo vya waathrika wa ukimwi vitakuwa milioni 1,7 kwa mwaka ifikapo 2006.  Badala yake vifo milioni 3 viliripoliwa kwa mwaka 2001 peke yake!!  Kwa kweli ugonjwa kuu ni mbaya sana kuliko tunavyo dhani.  Katika mwaka 2001 watu zaidi ya milioni 22 walikufa kwa ukimwi.  Za

SAMAKI

Image
Samaki Miaka kadhaa iliyopita watu walisikia kuwa kula samaki kuli leta afya sana.  Watu wengi waliacha kula nyama nyekundu na kuhamia kula mlo wa samaki.  Kiwango chao cha mafuta mabaya kwenye damu (cholesterol) kilipungua na walikuwa wakijisikia furaha.  Watumiaji wa vyakula vya mimea walianza kutumia samaki na viwango vya (cholesterol) vilipanda kidogo!  Je, hasa samaki ni kitu kizuri kwako?  Tuta angalia jambo hili kwa ukaribu.  Kuna visa viwili katika jambo hili.                                                    Watu walihamasika kuhusu ulaji wa samaki kwa wingi kwasababu ya baadhi ya mafuta yanayo patikana ndani ya samaki wakubwa na wanene.  Mafuta hayo yanaitwa omega 3 fats.  Yaani aina 3 muhimu za mafuta.  Na yana weza kupigana dhidi ya magonjwa ya moyo.  Tatizo ni kuwa samaki ni kundi la nyama na kwahiyo ina cholesterol ndani yake.  Hivyo unapokula samaki una inua cholesterol yako mwenyewe katika damu yako.  Na kama unataka unufaike zaidi ni heri ujiepushe kabi

VILEO

Image
Vileo Unywaji wa pombe huwadhuru hao wanywao magonjwa kama yale yanayo weza kuua seli za lini (cirrhosis of the liver) pia huathiri familia na jamii kwa njia nyingi.  Watu wanapolewa hupoteza uwezo wao wa kuamua jema na hali hii husababisha huzuni mkubwa.  Heshima hupotea mara tu mtu aliyelewa kutoka kwenye hali ya kulewa na kuona yale aliyoyatenda wakati alipo kuwa amelewa.                                                    Vileo viko katika kundi la kemikali ambazo ni vimiminika katika hali ya hewa ya ndani ya chumba.  Vileo viko katika jamii nyingi.  Jamii zote hizo, isipokuwa moja, huweza kuua hata kwa kunywa kiasi kidogo tu.  Kileo aina ya Ehili (Ethyl) mwili huweza huweza kukivumilia kikiwa ni kiasi kidogo, lakini huweza kuua mtu ikiwa katika kiwango kikubwa.  Ethili ni aina ya kileo inayopatikana katika vinywaji vyote vyenye kileo ndani kileo hupatikana ulimwenguni hote.  Kila nchi na kila jamii ya watu wanayo aina fulani ya kileo.  Tunasoma juu ya kileo katika Bibl