TAJI ZA WASHINDI.
Wimbo # 58: Zitakuwa nyota taijini Fung kuu: 2Timotheo 4:7-8 “ 7 Nimevipiga vita vilivyo vizuri, mwendo nimeumaliza, Imani nimeilinda; 8 Baada ya hayo nimewekewa taji ya haki, ambayo Bwana mhukumu mwenye haki, atanipa siku ile; wala si mimi tu, bali na watu wote pia waliopenda kufunuliwa kwake” ...