Posts

Nyerere Archive

Image
Azimio la Arusha   ni tamko rasmi la kisiasa lilikosudiwa kuongoza   Tanzania   katika njia ya   ujamaa   kadiri ya maelekezo hasa ya   Julius Kambarage Nyerere . Jina la azimio linatokana na   mji   wa   Arusha   lilipitishwa tarehe 26-29 Januari   1967 .Tarehe   5 Februari   1967 Mwalimu Nyerere alilitangaza huko   Dar es Salaam   kama uamuzi wa Watanzania wa kuondoa unyonge   wao. Tamko la Arusha lina sehemu tano:   Itikadi   ya   chama   cha   TANU ;   Siasa   ya ujamaa; Siasa ya   kujitegemea ; Uanachama wa TANU; na Azimio la Arusha. Kiini chake ni hiki: "Tumeonewa kiasi cha kutosha, tumenyonywa kiasi cha kutosha, tumepuuzwa kiasi cha kutosha. Unyonge wetu ndio uliotufanya tuonewe, tunyonywe na kupuuzwa. Sasa tunataka   mapinduzi , mapinduzi ya kuondoa unyonge ili tusionewe tena, tusinyonywe tena na tusipuuzwe tena". 5 February 1967 The Arusha Decl...

EVENTS

Image

MAKABURI MAJINI

Image
“Mkazikwa pamoja naye katika ubatizo; na katika huo mkafufuliwa pamoja naye, kwa kuziamini nguvu za Mungu aliyemfufua  katika  wafu”  (Kol.2:12). Katika ubatizo wa Biblia mtu anazikwa katika kaburi la maji na kutoka humo akiwa amefufuliwa kuishi maisha mapya katika Kristo kwa nguvu za Mungu, yaani, Roho Mtakatifu.  Hivyo ubatizo una maana yenye kina na ni zaidi ya kuzikwa tu ndani ya maji na kutoka.  Unawakilisha kifo, kuzikwa na kufufuka kwa Yesu Kristo. Paulo anafafanua kwa kusema, “Hamfahamu  ya  kuwa  sisi  sote tuliobatizwa katika Kristo Yesu tulibatizwa katika mauti yake, kusudi kama Kristo alivyofufuka katika wafu kwa njia ya utukufu wa Baba, vivyo hivyo na sisi t ue ne nde  k ati k a  upy a  wa  uz i ma ” (Rum.6:4).  Wokovu wetu unategemea kifo na kuzikwa na kufufuka kwa Yesu Kristo. Kama hatua zote za awali zimechukuliwa, mtu anayebatizwa anatarajiwa kuendelea kuishi maisha mapya ya ushindi dhidi ya d...