Posts

Showing posts with the label BIBLE KNOWLEDGE

MAMBO YA KUTAMBUA (‘A’ TO ‘Z’) KWA MCHUMBA ANAYETAKIWA KUWA Mwenzi wa maisha

MAMBO YA KUTAMBUA (‘A’ TO ‘Z’) KWA MCHUMBA ANAYETAKIWA KUWA Mwenzi wa maisha Kumekuwapo na changamoto nyingi sana za ndoa na hizo changamoto zimesababishwa na kufanya makosa kwa wanandoa katika suala zima la uchaguzi wa wenzi au wachumba wao katika hatua ya uchumba kabla ya ndoa kuja. Changamoto mojawapo katika ndoa imesababishwa na mitazamo tofauti na utashi binafsi wa watu katika kuingia kwenye ndoa. Kutofahamu umuhimu wa ndoa katika wanadamu kumepelekea kuvunjika kwa ndoa nyingi sana maana wengi wao wameoana kwa kuangalia vitu, kazi, mali, sura, kipaji, mvuto, umaarufu au chochote kutoka kwa mchumba kama kigezo cha kumvuta na kuiingia katika mahusiano ya uchumba ili kuifikia hatua ya ndoa. Ndoa (kama tasisi) ni takatifu, na Mungu aliruhusu ndoa kwa makusudi matakatifu. Ndoa ya kwanza iliasisiwa na Mungu mwenyewe katika bustani ya edeni kati ya Adamu na Hawa (mume mmoja na mke mmoja). Hivyo basi mchakato mzima wa kumpata mwenzi wa maisha kunahitaji kumshirikisha Mungu il

DIVERSIFICATION STRATEGY

DIVERSIFICATION STRATEGY Diversification strategies are used to expand firms' operations by adding markets, products, services, or stages of production to the existing business. The purpose of diversification is to allow the company to enter lines of business that are different from current operations. When the new venture is strategically related to the existing lines of business, it is called concentric diversification. Conglomerate diversification occurs when there is no common thread of strategic fit or relationship between the new and old lines of business; the new and old businesses are unrelated. DIVERSIFICATION IN THE CONTEXT OF GROWTH STRATEGIES Diversification is a form of growth strategy. Growth strategies involve a significant increase in performance objectives (usually sales or market share) beyond past levels of performance. Many organizations pursue one or more types of growth strategies. One of the primary reasons is the view held by many investors and executi

MAKABURI MAJINI

Image
“Mkazikwa pamoja naye katika ubatizo; na katika huo mkafufuliwa pamoja naye, kwa kuziamini nguvu za Mungu aliyemfufua  katika  wafu”  (Kol.2:12). Katika ubatizo wa Biblia mtu anazikwa katika kaburi la maji na kutoka humo akiwa amefufuliwa kuishi maisha mapya katika Kristo kwa nguvu za Mungu, yaani, Roho Mtakatifu.  Hivyo ubatizo una maana yenye kina na ni zaidi ya kuzikwa tu ndani ya maji na kutoka.  Unawakilisha kifo, kuzikwa na kufufuka kwa Yesu Kristo. Paulo anafafanua kwa kusema, “Hamfahamu  ya  kuwa  sisi  sote tuliobatizwa katika Kristo Yesu tulibatizwa katika mauti yake, kusudi kama Kristo alivyofufuka katika wafu kwa njia ya utukufu wa Baba, vivyo hivyo na sisi t ue ne nde  k ati k a  upy a  wa  uz i ma ” (Rum.6:4).  Wokovu wetu unategemea kifo na kuzikwa na kufufuka kwa Yesu Kristo. Kama hatua zote za awali zimechukuliwa, mtu anayebatizwa anatarajiwa kuendelea kuishi maisha mapya ya ushindi dhidi ya dhambi kwa nguvu ya Roho Mtakatifu. Ubatizo waweza kuwa ni kwa sababu

Support-Nunua Kazi Zangu

Image
Support-Nunua Kazi Zangu FUATA MAELEKEZO YAFUATAYO: 1.      Tembelea: www. Amazon.com 2.      Search/tafuta Jina la mwandishi: Mwl. Frank Philemon 3.       Vitabu vyenye Prime ni Paperback, na Kindle ni digital book 4.      Review  au weka Rating katika vitabu vyenye Prime 5.      Baada ya hatua zote katika ku-support waweza kununua vitabu vyangu online kwa aina zote za vitabu (Paperback na Kindle) Mwl. Frank Philemon ( Naxfra )