Posts

Showing posts with the label LEADERSHIP AND MANAGEMENT

SCHOOL LEADERSHIP AND MANAGEMENT

1.     Principle of management: Principle of sharing, Principle of freedom, Principle of equity, Principle of cooperation,   Principle of justice, Principle of planning, Principle of research, Principle of evaluation, Principle of flexibility, Principle of leadership, Principle of democracy and Principle of decisions making 2.     Qualities of a good leader (Leadership ethics): Should have a good physical appearance, Should have vision and foresight, Should have intelligence, Have to be competent in communication skills, Should be objective, Should have knowledge of work, Should have a sense of responsibility, Should have self-confidence and will power, Should be humanistic, empathy (stepping into the shoes of others), Should have dignity and respectfulness, Should be serving others, Should have justice, Have to be honesty and Should involve in Community building. 3.     Style of leadership management: (a)   Managem...

ELIMU BORA NA UFAULU WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA PILI NA NNE KWA SHULE ZA SEKONDARI ZA SERIKALI

1.0.             Utangulizi Hakuna nadharia ya moja kwa moja iliyopendekezwa na kukubaliwa kiulimwengu na kuteuliwa ili kuelezea nini maa ya elimu. Mwl. Nyerere yeye alitoa maana ya elimu kuwa “ni mchakato (transformation) wa kuhamisha maarifa kutoka kizazi kimoja kwenda kizazi kingine” . Kuna haja kubwa ya kuhusisha ufaulu na ubora wa elimu wanayoipata wanafunzi. Idadi kubwa ya ufaulu si kiashiria sahihi cha ubora wa elimu. Ubora wa elimu hupimwa kwa uthamani (quality) wake na siyo kwa idadi (quantity) ya wanafunzi kufaulu tu. Hivyo, kabla ya kuingia katika kiini cha andiko hili, ni vyema nikagusia kuhusu ubora wa elimu kwa msaada wa nukuu chache. Elimu bora ndiyo njia yenye ufanisi zaidi katika kujenga maadili, mitazamo, tabia na maarifa muhimu kwa watu binafsi ili waweze kutumika kwa manufaa katika jamii iliyotangamana (Haki Elimu, 2011). Kumekuwa na changamoto katika kuinua ubora wa elimu na mafunzo kutokana na mitaal...