Posts

Contribution of Scientific Management in the 21st Century

Scientific management is a management theory based on analyzing and studying workplace processes with the goal of making them more efficient. Its founder was Frederick Taylor and the theory emerged late in the 19th century. Scientific management analyzes workflows and processes with the goal of making them more efficient. While the influence of scientific management reached its peak in the mid-20th century, some of its principles live on today in total quality management and Six Sigma processes. 1.    Productivity o     One of scientific management's greatest accomplishments is increasing productivity. By studying the activities of workers, scientific management discovered methods to make every worker more efficient. Time and motion studies and other workplace studies analyzed work operations and discovered the most effective and efficient ways to perform jobs. By discovering how to maximize the efforts of everyone in a company, profitability could increase, making organizat

MISINGI YA UFUGAJI WA KUKU WA ASILI.

FAIDA ZA UFUGAJI WA KUKU WA ASILI (1)    Ni chanzo cha haraka cha pesa (2)    Nyama ya kuku ni protein tosha (3)    Kinyesi cha kuku ni mbolea (4)    Maganda na manyoya ni mapambo             Qn. Je wewe unajua faida zingine? Basi Zitaje. MAHITAJI MUHIMU KWA UFUGAJI KUKU WA ASILI (1)    Mahali pa kuwaweka (2)    Mahali pakupata huduma na ushauri (3)    Mahali pakupata kuku wa kufuga (waliochanjwa dhidi ya mndonde) NYUMBA YA MALAZI YA KUKU WA ASILI (a)     Nyumba iwe mahali penye kivuli (b)    Paa liwe Refu kuruhusu kuingia mtu mzima (c)     Nyumba iwe na uwezo wa kupitisha hewa (d)    Mlango uangalie Kaskazini kupingana na jua(Mlango uruhusu mtu mzima kuingia ) (e)     Iwe na mlango madhubuti na kufuli kudhibiti vibaka. NDANI YA NYUMBA YA KUKU KUWE NA NINI?         (1)Vichanja vya kulala kuku wakati wa usiku         (2)Viota vya kutagia na kuatamia         (3) Weka bembee ndani ya nyumba ya kuku         (4)Dawa au majivu