Posts

UFUGAJI WA MBUZI NA KONDOO

Image
KANUNI ZA UFUGAJI BORA WA MBUZI NA KONDOO Mbuzi na kondoo wanaweza kufugwa kwa gharama nafuu na kuishi katika mazingira magumu kama ya maradhi na ukame ikilinganishwa na ng’ombe. Kutokana na umbile lao dogo wanaweza kufugwa katika eneo dogo na pia wanaweza kuhudumiwa na familia yenye nguvukazi na kipato kidogo. Uzao wa muda mfupi unamwezesha mfugaji kupata mbuzi/kondoo wengi kwa kipindi kifupi. Wanyama hao hufugwa kwa ajili ya nyama, maziwa, ngozi, sufu na mazao mengine kwa matumizi ya familia na kuongeza kipato. Ufugaji bora wa mbuzi na kondoo uzingatie kanuni zifuatazo: i)              Wafugwe kwenye banda au zizi bora, ii)                   Wachaguliwe kutokana na sifa za koo/aina na lengo la uzalishaji (nyama, maziwa au sufu), iii)                 ...

TAJI ZA WASHINDI.

Wimbo # 58: Zitakuwa nyota taijini Fung kuu: 2Timotheo 4:7-8 “ 7 Nimevipiga vita vilivyo vizuri, mwendo nimeumaliza, Imani nimeilinda; 8 Baada ya hayo nimewekewa taji ya haki, ambayo Bwana mhukumu mwenye haki, atanipa siku ile; wala si mimi tu, bali na watu wote pia waliopenda kufunuliwa kwake”                                                                                                                    ...

INTRODUCTION TO RESEARCH

Image
 INTRODUCTION TO RESEARCH What is Research? (a)     Research is the systematic search and collection of information on a specific field of knowlegde. (b)    Research is a systematic process of collecting information and interpleting them. Characteristics of Research. The following are qualities characteristics of good or scientific research. 1.       Research is systematic There are roles and procedures in conducting research. Eg. Identifying the problems, methods etc. 2.       Research is logical Involves of reasoning and judging idea 3.       Research is empirical Research is based on empirical evidence or observable data. 4.       Research is replicable Replicable in a new research can be done when other researches that has been done previonsly to see wheather they obtained the same result. 5.   ...