Posts

Hoziana by Ambassadors of Christ Choir 2014

Image

Nimekupata Yesu by Ambassodors of Christ Choir (new video)

Image

Milango 12- Angaza Choir SDA Manzese

Image

Adventist Songs 2017 by By best sda choirs East africa

Image

Top 6 sda songs 2016|2017 in east africa collection by adventist church ...

Image

mbagaeps11

Image

MAMBO YA KUTAMBUA (‘A’ TO ‘Z’) KWA MCHUMBA ANAYETAKIWA KUWA Mwenzi wa maisha

MAMBO YA KUTAMBUA (‘A’ TO ‘Z’) KWA MCHUMBA ANAYETAKIWA KUWA Mwenzi wa maisha Kumekuwapo na changamoto nyingi sana za ndoa na hizo changamoto zimesababishwa na kufanya makosa kwa wanandoa katika suala zima la uchaguzi wa wenzi au wachumba wao katika hatua ya uchumba kabla ya ndoa kuja. Changamoto mojawapo katika ndoa imesababishwa na mitazamo tofauti na utashi binafsi wa watu katika kuingia kwenye ndoa. Kutofahamu umuhimu wa ndoa katika wanadamu kumepelekea kuvunjika kwa ndoa nyingi sana maana wengi wao wameoana kwa kuangalia vitu, kazi, mali, sura, kipaji, mvuto, umaarufu au chochote kutoka kwa mchumba kama kigezo cha kumvuta na kuiingia katika mahusiano ya uchumba ili kuifikia hatua ya ndoa. Ndoa (kama tasisi) ni takatifu, na Mungu aliruhusu ndoa kwa makusudi matakatifu. Ndoa ya kwanza iliasisiwa na Mungu mwenyewe katika bustani ya edeni kati ya Adamu na Hawa (mume mmoja na mke mmoja). Hivyo basi mchakato mzima wa kumpata mwenzi wa maisha kunahitaji kumshirikisha Mungu il

UWEZO WA KWENDA MBALI KULIKO WENGINE

Image
Urefu na ubali awapo tai, huwezi kuona aina nyingine ya ndege. Zaidi ya futi 10, 000 kwenda juu angani kutoka kwenye uso wa dunia ni urefu mkubwa sana ambapo ndege wengine hawawezi kuumudu kulingana na changamoto za misukosuko, upepo mkali, mvua, baridi kali sana, kukokasa uwezo wa kuona chini, maana ni juu sana. Kwa hiyo maisha ya tai ni ya kusitajabisha sana, kwani yeye huwa juu zaidi ya ndege wengine wote. Lakini hata awapo juu zaidi hapotezi uwezo wake wa kuona mbali. Fudisho Tulipatalo Katika maisha yetu: Kuna msemo unasema kuwa “ndege wenye tabia na manyoya ya rangi ya aina moja hupaa pamoja”. Ukanda wa juu alipo tai huwezi kukutana na ndege wengine zaidi ya tai pekee. Kwa mtu aliyemakini lazima afanye, afikiri na atende zaidi ya pale wengine walipofikia. Kufuata mkumbo na kuiga mienendo, tabia, jinsi ya kutenda, kufikiri na kuiga maisha ya watu wengi, hakuwezi kukuletea tofauti yoyote zaidi ya kuishi kwa mkumbo.  Jua kuwa kila mtu ni wa pekee kwa jinsi ya ajabu aliv

YATUPASA KUTIANA MOYO SIKU ZOTE

Wakati mwingine watu hujiua au hujinyonga kwa sababu ya kushindwa kuvumilia na kuzikabili changamoto. Jambo hili la kujiua kwa watu wengine husababishwa na kukosa tumaini katika maisha, kwa kukosa uwezo wa kuhimili changamoto na ugumu wa maisha. Kutumia vileo, madawa, sigara na vitu vituleteavyo madhara na kuathiri afya zetu, hutukosesha uhakika wa kuishi tena. Kutojari kanuni na taratibu za afya katika miili yetu juu ya nini tule, tunywe na tuweke juu ya miili yetu husababisha magonjwa katika miili yetu, hivyo hupunguza uwezo wa kuishi maisha marefu. Kuteseka ni lazima kuje ili kuyafikia mafanikio mapya. Ni vigumu kuyafikia mafanikio bila kuteseka kwa namna moja au nyingine. Kupiga hatua na kulikabili jambo fulani kunahita maamuzi yanayoumiza wakati mwingine. Hata kama mengine yanaumiza lazima tukubali, kuyapokea na kufanya badiliko. Kuna muda, mtu hufanya mambo fulani kwa sababu fulani; kila mtu hujikuta katika mkondo au maisha jinsi yalivyomchagulia namna ya kuishi, lakini

UTEUZI WA MA-DC WAPYA

R ais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 26 Juni, 2016 amefanya mabadiliko madogo katika safu ya wakuu wa mikoa na amewateua wakuu wa wilaya 139. Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi amesema katika mabadiliko hayo Rais Magufuli amemteua aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Sengerema Bi. Zainab R. Telack kuwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga. Bi. Zainab R. Telack anajaza nafasi iliyoachwa wazi na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Bi. Anna Kilango Malecela ambaye uteuzi wake ulitenguliwa. Rais Magufuli pia amemteua Dkt. Binilith Satano Mahenge kuwa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma. Dkt. Binilith Satano Mahenge anajaza nafasi iliyoachwa wazi na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Bw. Said Thabit Mwambungu ambaye amehamishiwa Ofisi ya Waziri Mkuu Dar es salaam ambako atapangiwa majukumu mengine. Aidha, Rais Magufuli amemteua Dkt. Charles F. Mlingwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara. Dkt. Charles F. Mlingwa anajaza nafasi iliyoachwa wazi na Bw. Stanslaus Magesa Mulongo ambaye uteuzi wak

SHAREHOLDERS

SHAREHOLDERS Shareholders or stockholders own parts or shares of companies. In large corporations, shareholders are people and institutions that simply invest money for future dividends and for the potential increased value of their shares, whereas in small companies they may be the people who established the business or who have a more personal stake in it. When investors buy shares of companies, they receive certificates that say how many shares they own. Owning shares of a company often entitles an investor to a part of the company's profits, which is issued as a dividend. In addition, shareholders are typically offered a fixed payout per share if the company is bought out. Because they are partial owners of a company, shareholders are allowed to vote at shareholder meetings for certain company actions (such as approving or rejecting a merger proposal), review company accounts, and receive periodic reports on company performance. If shareholders cannot attend annual meetings,