Posts

YALIYOMO KATIKA KITABU CHA MWANZO

1.     UTANGULIZI Kitabu cha Mwanzo ni miongoni mwa Vitabu vitano vya Musa ( Mwanzo, Kutoka, Mambo ya Walawi, Hesabu na Kumbukumbu la Torati ). Hapo awali kabisa, vitabu hivi vitano vya Musa vilikuwa kitabu kimoja, na baadaye kilitenganishwa na kuwa vitabu vitano kama tulivyo navyo siku hizi katika Biblia. Kwa ujumla, vitabu hivi vitano vinajulikana kwa jina la Pentatuki (maana yake, vitabu vitano).   Jina hili la Pentatuki linatokana na maneno mawili ya Kiyunani (Kigiriki), yaani “penta” maana yake ‘tano’ na “teuchos” maana yake ‘kitabu’ . Waebrania walimanisha Pentatuki yote ni “sheria” au “torati” (2Nyakati 17:9; Nehemia 8:14, 18; Mathayo 5:17; Mathayo 11:13; Mathayo 12:5; Luka 24:44). Majina ya vitabu hivyo katika tafsiri ya kale ya Kiyunani ya Septuaginta yalikuwa Genesis kwa kitabu cha Mwanzo, Exodus kwa kitabu cha Kutoka, Leviticus kwa kitabu cha Walawi, Numeri kwa kitabu cha Hesabu na Deuteronomium kwa kitabu cha Kumbukumbu la Torati. ...

How to write resignation letter | Learn to Write Resignation letter in E...

Image

FB VIDEO SD 1509640586758

Image

10 Mistakes Most Young People Make & Regret Later in Life

Image

How to Know Your Life Purpose in 5 Minutes Adam Leipzig at TEDxMalibu

Image

WOMEN MUST WATCH by Dr Myles Munroe YouTube 360p

Image

WOMEN MUST WATCH by Dr Myles Munroe YouTube 360p

Image

MWIKO KUVUNJIKA CHUNGUNI

Salamu nawasalimu, Amani nawatakia, Niishikapo kalamu, swali nawaulizia, Si fumbo la kitalaamu, ni hoja nawapangia, Umevunjika chunguni, mwiko wangu, mwiko wangu! Kupika ninavyopika, nikipika vinalika, Vinalika na kulika, na vidole kulambika, Mwiko ninaposhika, Vitu vinakorogeka, Umevunjika chunguni, mwiko wangu, mwiko wangu! Viungo nikiongeza, chumvi na mdalasini, Na ndimu nikinyunyiza, kolienda na komuni, Utamu nikikoleza, harufu tamu chunguni, Umevunjika chunguni, mwiko wangu, mwiko wangu! Sasa nashindwa kupika, mwiko umevunjikia, Nilipokuwa napika, chunguni kumegukia, Mwiko wangu wa hakika, mwingine sitamania, Umevunjika chunguni, mwiko wangu, mwiko wangu! Maana yake ni nini, mwiko kunivunjikia, Niambieni asilani, mizimu imechukia? Nichinje mnyama gani, mkosi kufukuzia, Umevunjika chunguni, mwiko wangu, mwiko wangu! Nawauliza watani, na watani wa watani, Hili jambo ni la nini, kuvunjikia chunguni, Kama ni zuri ni nini, niambieni jamani, Umevunjika chunguni, mwiko wangu...

SWEET AND BEAUTY SONG

MATHS' GENIUS

A LITTLE KENYAN GIRL - AN AUTHOR OF THREE BOOKS

A TANZANIA GIRL AT UN

MY DEDICATION TO THE PRESIDENT DR. J.P.M

Image

SOMO: UASI WA KANUNI YA KIROHO TUSIOUJUA:

FUNGU: WAEFESO 5:15-21 “ 15 Basi angalieni sana jinsi mnavyoenenda; si kama watu wasio na hekima bali kama watu wenye hekima; 16 mkiukomboa wakati kwa maana zama hizi ni za uovu. 17 Kwa sababu hiyo msiwe wajinga, bali mfahamu ni nini yaliyo mapenzi ya bwana. 18 Tena msilewe Kwa mvinyo, ambamo mnaufisadi; Bali mjazwe Roho; 19 mkisemezana Kwa zaburi Na tenzi na nyimo za rohoni, huku mkiimba na kumshangilia Bwana mioyoni mwenu; na kumshukuru Mungu Baba siku zote kwa mambo yote, katika jina lake Bwana Yesu Kristo; 21 hali mnanyenyekeana katika kicho cha Kristo. 1.0 UTANGULIZI: 1.1. Katika maisha yangu ya kiroho; Nahau zifuatazo zimenifunda: 1)    Kama hujui mahala unapoelekea uwapo safarini, njia yoyote miongoni mwa nyingi itakuchagulia uelekeo na Kama hujishughulishi kujua unakoelekea, njia haiwezi kukuchagulia uelekeo sahihi uutakao. 2)    Eneo lenye giza zaidi kuliko maeneo yote katika mshumaa lipo chini ya mshumaa. 3)    Debe lililo tupu ...