Ubongo wa Mbele
Phineas Gage
aliumia vibaya sana tarehe 13 Septembe 1848 wa kati kitu fulani kilipasuka
alipokuwa akifanya kazi. Mlipuko ulikuwa
mkubwa kiasi kwamba mtarimbo ulimwingia kichwani karibu na jicho chini yake
kidogo; ukaingia ubongoni na kutokeza nje ya fuvu lake na ule mtarimbo
ulikwenda kutua mita kadhaa mbele baada ya kutoka kwenye fuvu hilo. Phineas alipona na akawa na afya tena lakini
hakuwa tena Phineas Gage tena. Mwonekano
wote wa mwili ulibadi lika. Akawa na
vitendo vya usumbufu, mwenye hasira za haraka mno, asiye wajibika kazini
vilivyo na akapoteza mvuto wa dini. Hali
ya kimaadili vilevile ilipungua sana.
Alikufa baada ya miaka 13 ya ajali yake mbaya na wana sayansi walikuwa
wanafanya uchunguzi kuhusu athari ya Phineas ya ubongo wake wa mbele. Wame ng’amua mambo kadhaa. Ubongo wa mbele unatawala hali ya mambo ya
kiroho, tabia, maadili na nia.
Hivyo ni mulimu
kuwa tuna chukua uangalizi mkubwa kuhusa ubongo wetu. Wana sayansi nao wamegundua kuwa mtindo wa
maisha una kitu unacho kitenda kwa afya ya ubongo. Madawa ya kuleya, madawa ya kawaida, pombe,
uvutaji na kafeini vyote hivi vimeonekana kuleta mvuto mbaya kwenye
ubongo. Pombe huharibu chembe chembe za
ubongo ambazo kamwe haziwezi kubadiri shiwa zingine. Kafeini hupatikana katika coca-cola na aina
nyingine ya soda, baadhi ya madawa, kahawa, majani ya chai, na chocolate.
Sukari nyingi
vilevile huinyang’anya afya nzuri ya ubongo.
Kiwango kikubwa cha sukari kwenye mlo imethibitika kuwa na madhara kwa
ubongo wa mbele kiutendaji kwa watoto wa umri wa shule. Hasa unapotumia kiwango kikubwa cha sukari,
unapotumia vitu vyenye utamu kama, chocolate, keki, na kunywa soda kwa wingi.
Kuwa na afya na
nguvu tunahitaji kula vyakula vya kawaida na vyenye afya. Mlo wa hali ya juu mno umo katika jamii ya
karanga, nafaka, mboga za majani na matunda.
Mungu ametuandalia vyakula hivi na vina virutubisho vyote tunavyo
vihitaji ili kuwa wenye afya; tuhakikishe tunakula aina mbalimbali za vyakula
vya afya.
Pia wana sayansi
wamegundua matokeo mabaya ya television na music unao pitishwa haraka kwenye
ubongo wa mbele (sehemu ya ubongo) kila kitu katika miili hutenda kwa mvumo.
Tunapo usikiliza muziki ukiwa na mvumo wa haraka haraka au mvumo wa mara kwa
mara hasa huharibu ubongo na kusababisha ugumu katika kujifunza. Vilevile muziki huzingira hisia zetu na
kuamsha kujisikia ambako hakutawaliwi kwa kufikiri kwanza au kujali
maadili. Ndiyo sababu ni muhimu kulinda
akili zetu dhidi ya mambo ya kidunia na muziki wenye sauti nzito.
Kitu kingine
ambacho kina madhara mabaya katika ubongo wetu ni kutazama television (TV) –
kutazama TV kwa muda mrefu kuna sababisha madhara ya maluweluwe kwenye ubongo
wetu. Hatu tendi (shughuliki) sana na mambo
hati maye tunakuwa wazembefu katika kutenda.
Kwa kutazama mambo kwenye TV na kuto tenda na tunaiga hali hiyo ya kuto
tenda hata kama jambo liko karibu hatuwezi kutenda hivyo. Kutazama sana TV na sinema huchochea ndoto za
mchana na fikra zisizo na maana kwa idadi kubwa ya watu. Sinema na uharibifu vilevile huongezeka kwa
ukatili na chuki kwa watoto.
Tunawezaje
kulinda ubongo wetu wa mbele?
1. Jiepushe na kuharibiwa katika vitu vya ufundi
mfano kama ajali.
2. Dhibiti magonjwa yanayo weza kudhuru ubongo.
3. Ruhusu hewa nyingi ya oksijeni kwenye damu –
Mazoezi ya mwili.
4. Jilishe kwa lishe nzuri – chakula kifacho.
5. Pata mwanga wa jua vya kutosha.
6. Uufanyizie mazoezi ubongo wako – kujifunza
Biblia ni vema.
7. Tawala kile unacho sikia na kuona.
Comments
Post a Comment
Thanks for viewing and passing through NMEE blog. Keep following the blog