MAPENZI YA KWELI

“Mapenzi ya kweli hudumu milele, hila na chuki za kupandikizwa huweza kumfanya mtu adhani kuwa hawezi kabisa kupenda tena, lakini mambo huwa tofauti, ukimpenda mtu kweli, haitajalisha umepata maumivu kiasi gani kwa kutoelewa kwake, utaendelea kumpenda huku ukimwomba Mungu amfumbue macho. Kuna watu tunakutana nao katika maisha yetu na hutokea kuwa wathamani kwetu kwakuwa wanajali sana furaha yetu kuliko waliotufahamu kabla, furaha zetu hurudi tena pale faraja ya kweli inapoambatana na
moyo wa uvumilivu unaotukumbatia matatizo yetu na kuyaficha tusiyaone...”


Love is not blind

Comments

Popular posts from this blog

MAJINA YA WANAWAKE KATIKA BIBLIA ‘A’ HADI ‘Z’

SOMO: MADHARA YA KUKATAA KUMTII MUNGU

MFANO WA MPANGO KAZI