Posts

Showing posts with the label THOUGHT AND PERSPECTIVES

UWEZO WA KWENDA MBALI KULIKO WENGINE

Image
Urefu na ubali awapo tai, huwezi kuona aina nyingine ya ndege. Zaidi ya futi 10, 000 kwenda juu angani kutoka kwenye uso wa dunia ni urefu mkubwa sana ambapo ndege wengine hawawezi kuumudu kulingana na changamoto za misukosuko, upepo mkali, mvua, baridi kali sana, kukokasa uwezo wa kuona chini, maana ni juu sana. Kwa hiyo maisha ya tai ni ya kusitajabisha sana, kwani yeye huwa juu zaidi ya ndege wengine wote. Lakini hata awapo juu zaidi hapotezi uwezo wake wa kuona mbali. Fudisho Tulipatalo Katika maisha yetu: Kuna msemo unasema kuwa “ndege wenye tabia na manyoya ya rangi ya aina moja hupaa pamoja”. Ukanda wa juu alipo tai huwezi kukutana na ndege wengine zaidi ya tai pekee. Kwa mtu aliyemakini lazima afanye, afikiri na atende zaidi ya pale wengine walipofikia. Kufuata mkumbo na kuiga mienendo, tabia, jinsi ya kutenda, kufikiri na kuiga maisha ya watu wengi, hakuwezi kukuletea tofauti yoyote zaidi ya kuishi kwa mkumbo.  Jua kuwa kila mtu ni wa pekee kwa jinsi ya ajabu ...

YATUPASA KUTIANA MOYO SIKU ZOTE

Wakati mwingine watu hujiua au hujinyonga kwa sababu ya kushindwa kuvumilia na kuzikabili changamoto. Jambo hili la kujiua kwa watu wengine husababishwa na kukosa tumaini katika maisha, kwa kukosa uwezo wa kuhimili changamoto na ugumu wa maisha. Kutumia vileo, madawa, sigara na vitu vituleteavyo madhara na kuathiri afya zetu, hutukosesha uhakika wa kuishi tena. Kutojari kanuni na taratibu za afya katika miili yetu juu ya nini tule, tunywe na tuweke juu ya miili yetu husababisha magonjwa katika miili yetu, hivyo hupunguza uwezo wa kuishi maisha marefu. Kuteseka ni lazima kuje ili kuyafikia mafanikio mapya. Ni vigumu kuyafikia mafanikio bila kuteseka kwa namna moja au nyingine. Kupiga hatua na kulikabili jambo fulani kunahita maamuzi yanayoumiza wakati mwingine. Hata kama mengine yanaumiza lazima tukubali, kuyapokea na kufanya badiliko. Kuna muda, mtu hufanya mambo fulani kwa sababu fulani; kila mtu hujikuta katika mkondo au maisha jinsi yalivyomchagulia namna ya kuishi, lakini ...

Support-Nunua Kazi Zangu

Image
Support-Nunua Kazi Zangu FUATA MAELEKEZO YAFUATAYO: 1.      Tembelea: www. Amazon.com 2.      Search/tafuta Jina la mwandishi: Mwl. Frank Philemon 3.       Vitabu vyenye Prime ni Paperback, na Kindle ni digital book 4.      Review  au weka Rating katika vitabu vyenye Prime 5.      Baada ya hatua zote katika ku-support waweza kununua vitabu vyangu online kwa aina zote za vitabu (Paperback na Kindle) Mwl. Frank Philemon ( Naxfra )

25 Things About Life I Wish I Had Known 10 Years Ago

                               1 . Struggle is good. Never say, "I can't take it anymore." Instead say, "Bring it on! 2. Don't complain. Complaining is the biggest waste of time there is. Either do something about it, or if you can't, shut up about it. 3. Spend time with people you love. That's your family and best friends. If you don't have a family, create one. Most people in life are only visitors. Family is for life. 4. Don't start a relationship if you're not in love . I've done this more than once. You kind of like someone and think, "We might as well give it a shot." Not a good idea. You're either in love or you are not. Don't fool yourself. It's not fair to you or the other person. 5. Exercise daily. I didn't get this until recently. A healthy body is where you have to start everything in life. If you can't build a healthy and strong body, what can you build in life 6. Keep a journa...

QUOTATIONS AND SAYS

 (a). “The one who follow the crowd will usually get no further than the crowds. The one who walks alone, is likely to find himself in places no one has ever been” (Albert Elstem). (b) “To make success to happen in life, a person should plan active role” (Frank Philemon) (c) “Risk taking is a weapon, it can help you to fight against the challenges of this world, don’t give up and fight till end” . (d) “Our success comes not from what is around us, but from what is within us, not from what we have, but from what we are”. (e)”Hard working is not a means of Victory, but it gives hope to accomplish our mission through our vision” (f)”Don’t accept others definition of life, it is your life, define it yourself, the way you, love it to be, be yourself, because none knows about you better than you” (g)”If you stand for a reason, be prepared to stand on the ground, fall like a seed, that grow back to fight again”. (h)”Anything without principle (plan) will go randomly” (i...

MANENO YANA NGUVU.

                                                                                                                          Naanza kwa kuandika kuwa ; “Nayajua mengi kwa kuwa nimempa kila mtu nafasi ya kuwa mwalimu wangu, kila mtu hunifunza kwa yale atakayo. Huwa naheshimu kauli na mawazo ya wote kwa uzito sawa, LAKINI UELEWA NI JUU YANGU” Jua ya kwamba; “Ulemavu wa fikra tulizonazo juu ya maisha na juu yetu wenyewe huzaa mawazo mpauko yasiyoakisi umuhimu na umaana wa utu wetu na malengo yetu. Kuna muda tunafikiri kuwa watu wa aina fulani ndio wawezao kufanya mambo ya maana na yenye maendeleo kwa wao wenyewe, na sisi kujiweka nyuma kwa miakisio ya ubovu wa uteuzi wa f...

Maisha ni kama Shamba

“Maisha ni kama Shamba, wapo ambao wazazi wao walifanikiwa kununua shamba hili na wao kwa juhudi wazijuazo wao walifanikiwa kung’oa visiki, kulima, kupanda mbegu na kupalilia na kisha sasa mazao yanamea na wao wananyweshea. Watoto au vijana wenye wazazi wa namna hii huwa hawana kazi sana,wao huwapokea wazazi wao mpira wa maji na kuanza kumwagilia. Wapo wale ambao wazazi wao walifanikiwa kununua shamba lakini walishindwa kulihudumia na sasa wao ndio huenda kuanza upya, kazi yao huwa ngumu sana kwani hutakiwa kuanza mwanzo, hawa ni wale waliobahatika tu kupata elimu lakini kwao hakuna uwezo. Ewe ambaye kwenu mmefanikiwa usikatishe ndoto ya mwenzio kwa uwezo wa mzazi wako,USITUMIE PESA KAMA FIMBO YA KUMCHAPIA MWENZIO”

MANENO YANA NGUVU (WORDS ARE POWERFUL)

MANENO YANA NGUVU .                                                                                                                                 Naanza kwa kuandika kuwa ; “Nayajua mengi kwa kuwa nimempa kila mtu nafasi ya kuwa mwalimu wangu, kila mtu hunifunza kwa yale atakayo. Huwa naheshimu kauli na mawazo ya wote kwa uzito sawa, LAKINI UELEWA ...

A STORY OF APPRECIATION

 A STORY OF APPRECIATION. "Was it your father or mother who paid for your school fees? It doesn’t matter who! What matters is did you show your appreciation?"   This is a powerful message in our modern society. We seemed to have lost our bearing and our sense of direction. One young academically excellent person went to apply for a managerial position in a big company. He passed the first interview; the director did the last interview, made the last decision. The director discovered from the CV that the youth's academic achievements were excellent all the way, from the secondary school until the postgraduate research, never had a year when he did not score. The director asked, "Did you obtain any scholarships in school?" the youth answered "none". The director asked, “Was it your father who paid for your school fees?" The youth answered, "My father passed away when I was one year old, it was my mother who paid for my school fees. The ...