Posts

EVENTS

Image

MAKABURI MAJINI

Image
“Mkazikwa pamoja naye katika ubatizo; na katika huo mkafufuliwa pamoja naye, kwa kuziamini nguvu za Mungu aliyemfufua  katika  wafu”  (Kol.2:12). Katika ubatizo wa Biblia mtu anazikwa katika kaburi la maji na kutoka humo akiwa amefufuliwa kuishi maisha mapya katika Kristo kwa nguvu za Mungu, yaani, Roho Mtakatifu.  Hivyo ubatizo una maana yenye kina na ni zaidi ya kuzikwa tu ndani ya maji na kutoka.  Unawakilisha kifo, kuzikwa na kufufuka kwa Yesu Kristo. Paulo anafafanua kwa kusema, “Hamfahamu  ya  kuwa  sisi  sote tuliobatizwa katika Kristo Yesu tulibatizwa katika mauti yake, kusudi kama Kristo alivyofufuka katika wafu kwa njia ya utukufu wa Baba, vivyo hivyo na sisi t ue ne nde  k ati k a  upy a  wa  uz i ma ” (Rum.6:4).  Wokovu wetu unategemea kifo na kuzikwa na kufufuka kwa Yesu Kristo. Kama hatua zote za awali zimechukuliwa, mtu anayebatizwa anatarajiwa kuendelea kuishi maisha mapya ya ushindi dhidi ya dhambi kwa nguvu ya Roho Mtakatifu. Ubatizo waweza kuwa ni kwa sababu

Support-Nunua Kazi Zangu

Image
Support-Nunua Kazi Zangu FUATA MAELEKEZO YAFUATAYO: 1.      Tembelea: www. Amazon.com 2.      Search/tafuta Jina la mwandishi: Mwl. Frank Philemon 3.       Vitabu vyenye Prime ni Paperback, na Kindle ni digital book 4.      Review  au weka Rating katika vitabu vyenye Prime 5.      Baada ya hatua zote katika ku-support waweza kununua vitabu vyangu online kwa aina zote za vitabu (Paperback na Kindle) Mwl. Frank Philemon ( Naxfra )

TANZANIA EDUCATION BLOG: Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi ate...

TANZANIA EDUCATION BLOG: Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi ate... : Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi Prof Joyce Ndalichako akisikiliza  maelezo kuhusu hatua mbalimbali zilizofikiwa katika uje...

TANZANIA EDUCATION BLOG: Profesa Ndalichako: Wekeni malengo katika utendaji...

TANZANIA EDUCATION BLOG: Profesa Ndalichako: Wekeni malengo katika utendaji... : Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia  na Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako amewataka Watumishi wa Wizara hiyo kujiwekea malengo katika uten...

TANZANIA EDUCATION BLOG: Serikali yatoa zawadi kwa Halmashauri zilizotekele...

TANZANIA EDUCATION BLOG: Serikali yatoa zawadi kwa Halmashauri zilizotekele... : Serikali kwa kushirikiana na wafadhili wa maendeleo wanatekeleza programu inayojulikana kama Lipa Kulingana na Matokeo ambayo inalenga kut...

TANZANIA EDUCATION BLOG: Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufu...

TANZANIA EDUCATION BLOG: Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufu... : Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi Mhe. Eng Stella Manyanya akipokelewa na viongozi wa shule za Msingi Diamond na Olym...

TANZANIA EDUCATION BLOG: JAMHURIYA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARAYA ELIMU NA M...

TANZANIA EDUCATION BLOG: JAMHURIYA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARAYA ELIMU NA M... : JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI   KATAZO LA KUONGEZA ADA KWA SHULE ZISIZO ZA SERI...

GONJWA LA LEO LINALOENEA KWA KASI KWA WATU WENGI

Image
Utangulizi Pamekuwepo na panazidi kuongezeka magonjwa mengi ya ajabubuajabu katika ulimwengu wa sasa tunaouishi katika dhama za mwisho wadunia; hususani ndani ya sayari yetu Dunia. Magonjwa hayo yamekuwa kikwazo na kusababishwa changamoto nyingi sana katika maisha ya mwanadamu. Ukiachana na magonjwa ya kisaikolojia, kiakili, kimwili na mengineyo mengi sana yanayozidi kubainika na kuongezeka siku hadi siku katika kizazi cha ulimwengu wa sasa; lipo gojwa la muda mrefu, ambalolimedumu karine kwa karine. Gonjwa hilo sugu ni kongwe kuliko magonjwa mengine baadhi yaliyoibuka hivi karibuni. Gonjwa hili limekuwa likienea kwa kasi ya ajabu kulingana kubadirika kwa mitindo ya maisha ya mwanadamu. Gonjwa hili linajibainisha katika na hari na dalili zifuatazo:      Kupenda raha na maisha ya bila kutoa jasho,      Kupenda kulala kuliko kujibidisha,      Kukosa moyo wa kujituma,      Kupenda starehe kuliko kujishughulisha,      Kutokujitambua kwa sababu ya kukosa tafakuri, njoz